Benvenuti su Unilibro.it - Libreria Universitaria

Hatua za Ukuaji wa Kiroho. E-book. Formato EPUB aggiunto a carrello

Hatua za Ukuaji wa Kiroho. E-book. Formato EPUB

EBOOK di  Rev. David R. Wallis
edito da  ZION CHRISTIAN PUBLISHERS

Hatua za Ukuaji wa Kiroho. E-book. Formato EPUB - 9781596658738

di  Rev. David R. Wallis
edito da  ZION CHRISTIAN PUBLISHERS , 2021
Formato: EPUB - Protezione: nessuna
€ 3.99
Ebook Formato EPUB con Protezione: nessuna

Hiki ni kitabu ambacho ni msaada mkubwa sana kwa waamini, kwani kinatoa funguo muhimu na kweli muhimu zitakazomsaidia mwamini kukua katika kumjua Mungu. Kimejawa na miongozo mingi yenye kufaa katika mazingira halisi na ya kimaandiko, inayohusu ukuaji wa kiroho wa mwamini. Masomo yaliyotajwa hapo chini yametazamwa kwa upana:

Nini maana ya kuokolewa

Umuhimu wa Neno la Mungu

Ubatizo wa maji, agizo

Maombi, kipaumbele

Umuhimu wa ushirika

Umuhimu wa neema ya Mungu

Ukombozi kutoka katika vifungo

Kujawa na Roho Mtakatifu

Inapendekezwa kwamba wachungaji, walimu, na viongozi wa kanisa wakitumie kitabu hiki. Kitabu hiki ni muhtsari wenye kujitosheleza kwa mada zenye kufaa ambazo zitajenga msingi mzuri kwa waamini. Pia, kitakupatia mpangilio mzuri wa muundo wa ufundishaji utakaokusaidia kuwafundisha na kuwafunza wale wote ambao Mungu amekupatia dhamana ya kuwalea.
Ean
9781596658738
Titolo
Hatua za Ukuaji wa Kiroho. E-book. Formato EPUB
Data Pubblicazione
2021
Formato
EPUB
Protezione
nessuna
Punti Accumulabili